Liwali ambaye hakuwa kazini
alifariki baada ya gari lake kutumbukia kwenye shimo lililojaa maji,
ambalo lilizuka ghafla katika eneo la San Antonio, jimbo la Texas
nchini Marekani.
Maafisa wanasema Dora Linda Nishihara, 69, ambaye
ni naibu liwali aliyekuwa anahudumu kama afisa wa kutekeleza maagizo ya
mahakama, alifariki baada ya gari lake kutumbukia kwenye shimo Tuesday, 6 December 2016
Monday, 5 December 2016
MADAKTARI KENYA WAANZA MGOGO KITAIFA
Taarifa zilizoripotiwa na BBC leo December 5 2016 kuhusiana na nchi ya Kenya
ni kuwa madaktari na wauguzi wa nchi hiyo wameanza mgomo wa kitaifa
ikiwa kama sehemu ya kuishinikiza serikali kutimiza mahitaji yao.
VIDEO: NISHA BEBE MIMBA HII NGEKUWA YA BARAKA DA PRINCE
Nisha Baby amefunguka kuhusiana na hilo akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV, na kusema kuwa endapo ujauzito huo ungekuwa wa Baraka kama inavyosemwa na wengi basi ungetoka wenyewe mapema sana kwa kuwa Baraka ni miongoni mwa wanaume asiowapenda kabisa duniani.
MIJI KUMI MICHAFU ZAIDI DUNIANI
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO mwaka 2010 takribani watu 223,000 walfariki dunia kutokana na kansa ya mapafu.
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO
10. LAHORE, PAKISTAN
Lahore nchini pakistan ndo mji uonaonekana kuwaumesheheni watu wengi ukiwa na wastani wa 200 mcg/m3na ukionekana ndo mji unaoongoza kwa uchafu duniani kulingana na tak
ALICHO KISEMA MOURINHO BAADA YAKUMCHEZESHA FELLAINI
Jose Mourinho ametetea uamuzi wake
wa kumuingiza uwanjani kiungo wa kati Marouane Fellaini kama nguvu mpya
wakati wa mechi ambayo Manchester United walitoka sare na Everton
Jumapili.
Fellaini alisababisha penalti muda mfupi baada yake
kuingia dakika ya 85, na kuwawezesha Everton kusawazisha na mambo yakawa
1-1.Friday, 2 December 2016
MELI YA TITANIC YAONEKANA CHINA
China kutengeneza meli inayofanana na 'Titanic' BONYEZA picha hapo chini kuiona video
Mashua sawia na iliyotengenezwa
katika mji mkuu wa Belfast huko Ireland ya Titanic itawekwa katika eneo
la kumbukumbu la theme park nchini India.
Ujenzi huo wa mashua
hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269, itawekwa katika hifadhi iliyoko
mashambani , katika mkoa wa Sichuan, .Thursday, 1 December 2016
USAJIRI WA MZAMBIA YANGA WAKAMILIKA

Timu ya Dar es Salaam Young Africans leo December 1 2016 imetangaza kumsajili kiungo raia wa Zambia Justine Zulu, kiungo huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili.
Yanga imemsajili Justine Zulu kutokea timu ya Zesco United ya Zambia, kwa taarifa hiyo sasa ni rasmi Justine Zulu ataungana na kocha wake wa zamani ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni
VIDEO: JUSTIN BERBER ANAAMINI INSTAGRAM NI YA SHETANI

Justin Bieber amekuwa
mbali na mtandao wa Instagram tangu mwezi August 2016 ambapo alijiondoa
rasmi kwenye mtandao huo hali ambayo imesababisha mashabiki wake kumiss
kumuona kwenye mtandao huo ambao unamuwezesha mtumiaji kutuma picha
pamoja na video.
Akiwa kwenye show yake London aliuliza
mashabiki “nani angependa nirudi Instagram?
Wednesday, 30 November 2016
NJAMA 638 ZA MAUAJI ALIZOEPUKA FIDEL CASTRO
Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel
Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637
dhidi ya maisha yake ni zipi?
Shirika la kijasusi nchini Marekani
CIA na watu waliotoroka Cuba wakati wa uongozi wa Castro walitumia nusu
ya karne moja kufanya njama za kumuua kiongozi ambaye taifa lake lina
athari VIDEO: WAZIRI MKUU MAJALIWA, JK WALIVYOSHIRIKI KUAGA MWILI WA MZEE PINDA DODOMA
November 30 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete waliungana na baadhi ya watanzania katika kutoa salamu zao za mwisho kwa aliyekuwa baba mzazi wa Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda mzee Xavery Pinda aliyepelekwa mkoani Katavi kwa ajili
Sunday, 27 November 2016
SALAMU ZA RAMBI RAMBI DK MAGUFULI KWA FIDEL CASTRO
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Fidel Castro. Kwa niaba ya Serikali, Wananchi wa Tanzania na kwa niaba yangu mwenyewe natoa pole nyingi kwako, familia, Serikali ya Cuba na wananchi wa Cuba kwa kumpoteza mtu muhimu.
Friday, 25 November 2016
KAMPENI YA KUMNG’OA TRUMP YASHIKA KASI
BONYEZA PICHA HAPA KUONA VIDEO HAPO

Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya kuwashawishi wajumbe wengine kutomwidhinisha Rais huyo mteule.
Wajumbe hao ambao majina yao yalitangazwa jana wanaamini kuwa iwapo watafanikiwa kuwashawishi wenzao wengine 37 kutoka Chama cha Republican basi watakuwa wamefanikiwa

Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya kuwashawishi wajumbe wengine kutomwidhinisha Rais huyo mteule.
Wajumbe hao ambao majina yao yalitangazwa jana wanaamini kuwa iwapo watafanikiwa kuwashawishi wenzao wengine 37 kutoka Chama cha Republican basi watakuwa wamefanikiwa
OMMY DIMPOZ: KUMBE KISA WEMA SEPETU OMMY DIMPOZ WALIVULUGANA NA DIAMONDPLATNUMZ
Akizungumza leo Novemba 24, 206 wakati wa mahojiano kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Dimpoz amesema mwanzoni walikuwa na urafiki mzuri na Diamond na walikuwa wakishirikiana mambo mengi kuhusu muziki wao, lakini baadaye hali ilikuwa tofauti baada, Diamond akaanza kumpoteza na kukwepa kufanya naye baadhi ya mambo kwa pamoja.
Dimpoz amesema hayo baada ya Diamond kusema mambo kadhaa kuhusu yeye wakati akifanya mahojiano jana kwenye kipindi hicho cha XXL.
MUHIMBILI YAFANYA UPASUAJI MKUBWA WA KIHISTORIA WA KUHAMISHA MISULI
Upasuaji huu wa aina yake na ambao mara nyingi huchukua muda wa saa sita hadi saba una lengo la kujenga uwezo kwa watalaamu wa ndani ili waendelee kutoa huduma za ubingwa wa hali ya juu kwa Watanzania wengi zaidi na vilevile kupunguza kasi ya kupeleka wagonjwa nje.
Subscribe to:
Posts (Atom)