SUBSCRIBE HAPA
Bonyeza picha hii kujua kama simu yako itafungwa
Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft
Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini zaidi barani
Afrika, kusini mwa jangwa la sahara, kwa kufuga kuku
Bilionea huyo Bill Gates anasema kuwa kufuga kuku kunaweza kuwa kifaa muhimu katika kukabiliana na ufukara hohe hahe.
Ameahidi kutoa kuku 100,000, na ukurasa katika mtandao wa mradi huo tayari umewavutia na kusambazwa kwa maelfu ya watu.