NA SWAXBZ LAYIIII

Ambwene Yassaya-AY
Mkali wa mziki wa kizazi kipya Tanzania Ambwene Yesaya-AY anayetamba
kwa kibao chake cha ‘Asante’ ndiye wakala wa muongozaji Godfather mwenye
makazi yake nchini Afrika Kusini.
AY amesema msanii yeyote wa Afrika Mashariki anayehitaji kufanya video
chini ya muongozaji huyo ni lazima apitie kwake kwani yeye ndiye wakala
wake hapa Afrika Mashariki.
Alisema… “Huwezi kufanya video na Godfatherni lazima utapita kwangu na utalipa gharama zote kwangu kwani tumeingia deal pamoja.”