2015 Lionel Messi ni mmoja wa wachezaji walio juu duniani.
alizaliwa Argentina, kwa sasa anachezea club ya Barcelona katika ligi za
hispania. Pia anajulikana kama Leo, La Pulga Atomica (The Atomic Flea)
alizaliwa 24 June 1987,huko Rosario, Argentina
Wazazi wake ni Jorge Horacio Messi ( was a factory worker) na
Celia MarÃa Cuccittini (was a
Mchekeshaji
na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan amedai katika tasnia ya
filamu, mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye msichana mwenye sifa ya
kumuoa. Idris
ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Wema Sepetu na baadae kuachana,
ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM kuwa Lulu ndiye msichana ambaye
anahisi ametulia. “Mimi
naona Elizabeth Michael ametulia sana,” alisema Idris. “Ni staa ambaye
namuona
MKE
wa Donald Trump, Melania Trump, anakuwa mwanamitindo wa kwanza kuingia
Ikulu ya Marekani baada ya mume wake jana kuchaguliwa kuwa rais wa
nchini hiyo. Shughuli kubwa ya Melania ni pamoja na kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa jamii na familia kwa ujumla. Hata
hivyo, wajibu huo haujabainishwa kuwa rasmi, lakini mke huyo wa rais
anatarajia
Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016
zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo
ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song
Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.
Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.
Spika wa zamani wa bunge la Tanzania Samwel Sitta amefariki dunia akipokea matibabu nchini Ujerumani.
Bw Sitta alikuwa mbunge mstaafu wa jimbo la Urambo lililopo mkoani Tabora.
Kwa
mujibu wa taarifa kutoka Ikulu, Bw Sitta amefariki dunia usiku wa
kuamkia leo katika hospitali ya Technical University of Munich nchini
Ujerumani.
Amekuwa akipokea matibabu tangu mwezi uliopita.
Harry Kane alionyesha umahiri wake
baada ya kuuguza jereha kwa majuma saba kwa kufunga bao la kusawazisha
dhidi ya wenyeji Arsenal katika uwanja wa Emirates,na kuifanya Tottenham
kusalia kuwa timu ambayo haijafungwa katika ligi ya Uingereza msimu
huu.
Mshambuliaji huyo wa Uingereza alikuwa akiuguza jereha tangu
tarehe 18 mwezi Septemba lakini alifunga bao la kusawazisha kupitia
mkwaju wa penalti mapema katika kipindi cha pili baada ya
MWANAMKE anayetambulika kwa jina la Asha Mandela anaongoza kwa kuwa na rasta ndefu zaidi duniani zenye urefu wa futi 55.
Mwanamke huyo ambaye anadaiwa kuonywa na madakati juu ya urefu wa nywele
zake unaweza kumsababishia tatizo la kupooza Asha amedai hawezi
kuzikata nywele hizo.
Mama huyo aishiye Atlanta mwenye umri wa miaka 47 anayeweka rekodi ya
kuwa na rasta ndefu duniani ameweka wazi humchukua siku mbili kuosha
pamoja na kuzikausha nywele zake.
Katika moja ya mahojiano aliyowahi kufanya mwanamke huyo ameeleza kuwa
nywele zake zimekuwa ni sehemu ya maisha yake na hatoweza kuzikata kwani
akifanya hivyo ni sawa na kujiuua.
Pamoja na kuonywa na madaktari kuwa urefu wa nywele zake unaweza
kumsababishia tatizo la kupooza, Asha Mandela amesema hawezi kuzikata. Bi. Mandela Nywele zake ni ndefu kuliko bus(gari)
Mama huyo mwenye mtoto mmoja aishiye Atlanta, Georgia amesema: Nywele
zangu zimekuwa sehemu yangu. Ni maisha yangu. Sitozikata kamwe.
Kuzikata itakuwa ni kama kujiua. Itakuwa ni sawa na zombie.’
Mrs Mandela, 47, anashikilia Guinness World Record kwa kuwa na rasta ndefu zaidi duniani zenye urefu wa futi 55.
Humchukua siku mbili kuziosha na kuzikausha nywele zake. Mrs Mandela,
ana mtoto mwenye miaka 11 aitwaye Zion aliyezaa na mume wake wa pili,
anasema nywele zake zimesaidia uhusiano wake na mumewe.
Kwa sasa ameolewa na mume wa tatu na asili yake ni Trinidad and Tobago. Alianza kuzitunza nywele hizo miaka 25 iliyopita.
Bonyeza picha hi kuiona video usiache kulike share comment na subscribe mtu wangu
Joka mwenye sumu kali zaidi duniani
huenda akawa jibu la kupatikana dawa ya kupunguza uchungu. Hii ni kwa
mujibu ya wanasayansi.
Joka anayejulikana kama 'Blue Coral' ndiye
mwenye sumu kali zaidi na hupatikana zaizi Kusini Mashariki mwa Bara
Asia. Utafiti mpya uliochapishwa kwenye jarida la afya la Toxin umepata
joka huyo huwalenga maadui wake ambao husababisha uchungu kwa binadamu.
Serikali ya Scotland imeidhinisha vazi la hijabu na kulijumuisha kwenye
sare za maafisa wa polisi wa kike wa Kiislamu ili kuongeza idadi yao
katika idara hiyo.
Mkuu wa idara ya polisi nchini humo Phil Gormley, ametoa maelezo na
kubainisha furaha kubwa kwa kutangaza uamuzi huo, na kufahamisha nia yao
kutaka kusaidiana na maafisa wa Kiislamu katika suala la usalama wa
taifa.
Kiasili binadamu tumepewa uwezo mkubwa wa kufikiri ukitofautisha na
wanyama wengine. Uwezo huu tulionao huwa unakuja hasa kutokana na
matumizi ya mawazo au kufikiri kwetu. Kufikiri huko ambapo tunafanya
kila siku na kila wakati ndipo kunapotufanya tuwe na maisha ya aina
fulani, haijalishi yawe ya mafanikio au kushindwa.
Lakini hata hivyo wengi wetu huwa tunafikiri au tuna mawazo ya kimazoea
na kushindwa kutambua kwamba hayo mawazo yetu pia yamegawanyika. Kwa
mawazo yoyote uliyonayo mara huwa yamegawanyika katika sehemu. Kwa mfano
unapowaza wazo fulani, wazo hilo linakuwa lipo moja
Leo hii karibu kila mtu aliyeajiriwa ukimuuliza je, unafurahia maisha ya
kuajiriwa? Atakwambia hapana ila natamani kujiajiri, na endapo
utaendelea kumuuliza ni kwa nini unatamani kujiajiri? Utamsikia anasema
nataka kuwa huru na muda na pia nahitaji uhuru wa kipesa.
Majibu hayo kwa mtazamo wa wengi ni sawa, ila kuna kitu ambacho ni vyema
ukakijua kabla ya kuamua kuacha kazi na kwenda kujiajiri.
Kujiajiri kuna hitaji ujasiri wa hali ya juu sana maana kuna changamoto
zaidi ya kuajiriwa. Hivyo nakusihi ufikirie kwa umakini sana suala zima
la kuacha kazi kabla kwenda kujiajiri.
Na endapo utaamua kuacha kazi ya kuajiriwa bila ya kufikiria ipo siku
utakuja kujutia uamuzi wako. Hivyo ni vyema ukafikiria mara mbili kabla
ya kufanya maamuzi magumu. Mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kuacha kazi. 1. Kuwa na nidhamu ya muda.
Kwa kuwa kwa sasa bado umeajiriwa, hivyo huna jukumu la kufanya maamuzi
ya matumizi ya muda, Bali unafanya kazi kutokana na muda ambao muajiri
wako ameamua yeye kukupangia kuweza kufanya kazi.
Na kwa kuwa umezoea kufanya kazi kutokana na amri ya mwajiri wako, hata
pale ambapo utaamua kuacha kazi fahamu fika ya kwamba suala la kuwa na
nidhamu ya muda kwako ni suala gumu, hivyo unatakiwa kufanya jitihada
zako binafsi kadri iwezekanavyo hasa katika matumizi sahihi ya kufanya
kazi hasa suala zima la uzalishaji wa mali au huduma.
Nazungumza suala zima la matumizi ya muda kwani hapa ndipo ambapo
tunapata makundi mawili ya watu waliofanikiwa na wasiofanikiwa. Hivyo ni
jambo jema kuhakikisha unazingatia matumizi sahihi ya muda ili pindi
utakapoacha kazi wewe ndiye ambaye utakuwa na jukumu la kupanga muda wa
kufanya kazi na ni muda gani utakuwa ni wa kupumzika. Pia ikiwezekana
ongeza matumizi sahihi ya muda mara mbili zaidi ya ulivyokuwa
umeajiriwa. 2. Kutokuahirisha kufanya mambo ya msingi.
Utakuwa shahidi ya kwamba wakati umeajiriwa suala zima la uahirishaji wa
kufanya mambo ya msingi lilikuwa ni suala gumu sana labda awe ameamua
mwajiri wako. Kama ndivyo hivyo basi pale ambapo utakuwa umeamua
mwenyewe kuacha kazi na kuamua kufanya kazi mwenyewe hivyo huna budi
kuhakikisha ya kwamba suala zima la uhairishaji mambo linakuwa ni suala
ambalo halina nafasi katika maisha yako.
Ukiwa ni mtu wa kufanya kazi kwa kuamua kutenda bila kuahiirisha vitu
vya msingi ama hakika utafika kilele cha mafanikio yako ndani ya muda
mfupi. Ni vyema kulizingatia hili, kwani hili ndilo ambalo limewafanya
watu wengi ambao waliacha kazi kuwa na maisha duni zaidi, kwani wengi
wao walikuwa ni waahirishaji wazuri wa vitu vya msingi
Msanii wa filamu anayefanya vizuri na filamu ‘Safari ya Gwalu’ Salim
Ahmed aka Gabo Zigamba amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wa filamu
wakiwa na juhudi wanaweza kuziba pengo la marehemu Steven Kanumba.
Mwigizaji huyo ambaye ni miongoni mwa wasanii wa filamu ambao wanafanya
vizuri kwa sasa, amedai kama wasanii wakiamua kufanya kazi kwa bidii
basi kila kitu kinawezekana.
Msanii wa muziki wa kurap, Mr Blue amesema hahitaji kuwa na meneja wa
kumsaidia katika kazi zake za muziki kwa kuwa tayari alishawahi kuwa na
mameneja zaidi ya watatu ambao hawakumpatia mafanikio.
f1cbmr-Blue-ft-alikiba-mboga-saba
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amedai mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016, Diana Edward alistahili kuchukua taji hilo.
Kupitia Instagram, Wema ameandika:
When You Nailed that question Properly, I knew that The Crown was
Yours…. Congratulations mdogo wangu… You deserve it… And I have a very
good feeling about Your performance in the