Mwimbaji wa Bongofleva Ommy Dimpoz November 6 2016 ametuletea video mpya akiwa na Alikiba inaitwa ‘Kajiandae’ ambayo imefanywa na director Justin Campus wa
Afrika Kusini, ukishamaliza kuitazama tafadhali usiache kutuandikia
comment yako ili wakipita hapa wajue watu wao wameipokeaje
No comments:
Post a Comment