Tuesday, 14 June 2016

ILIKUPITA ILE YA SANAMU MWENYE MAKALIO MAKUBWA KAMA TAHADHARI KWA WANAO KUZA MAKALIO SOMA HII

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU KUONA VIDEO KALI
Bonyeza picha yoyote kuona video usiache kusubscribe mtu wangu

The craze for bigger bums among women is on the rise and experts are warning of dire consequences especially for those considering using silicone butt injections

Thanks to well-endowed stars such as Vida Guerra, Beyonce, Jennifer Lopez and many more, curvaceous derrieres have never been more popular. The demand for bigger buttocks globally means

Monday, 13 June 2016

EURO 2016: MARUFUKU YA POMBE VIWANJANI

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Bonyeza picha yoyote hapa kuona habari mbali mbali live stream videos

https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1
Waziri wa maswala ya ndani wa ufaransa , Bernard Cazeneuve, ametoa ushauri kwa wakuu wa miji mbalimbali wenyeji wa kinyanganyiro cha soka barani ulaya Euro2016, kupiga marufuku matumizi ya pombe katika maeneo tete siku ya na hata kabla ya siku ya mechi kufanyika.

NISHA KAMJIBU JACKLINE WOLPER WA HARMONIZE

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kumjibu mwigizaji mwenzake, Jacqueline Wolper Massawe kuwa hajawahi kutaka ‘kiki’ za kijinga wala ugomvi na anachoangalia yeye ni biashara na maisha yanaenda.

Nisha aliliambia Wikienda kuwa ameshangazwa na habari zinazozagaa mitandaoni baada ya yeye kuweka picha za wasanii wanne kisha msanii mwenzake, Wolper kuanza kumrushia maneno wakati yeye aliandaa shoo ya Harmonize (mpenzi wa Wolper) wiki mbili zilizopita na yupo kibiashara zaidi

ZITTO KABWE AJITOKEZA ASEMA CCM WASIPO MDHIBITI RAIS MAGUFULI "SISI NA WANANCHI TUTAMDHIBITI"

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Bonyeza picha hii kuiona video ya hotuba fupi ya zitto usiache kusubscribe mtu wangu
https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1Baada ya taarifa za kutoweka, Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka leo na kusema yuko salama wa afya huku akilaani mbinu za Jeshi la Polisi kutaka kumkamata kwa siri bila kufuata utaratibu unaotakiwa.

Tangu Jumamosi usiku, vyombo mbalimbali vya habari viliripoti Zitto kutofahamika alikokuwa baada ya simu zake zote kutopatikana huku viongozi wa chama hicho wakihofia kukamatwa na polisi baada ya kubaini njia za uviziaji wa kumkamata nyumbani
kwake.

Sunday, 12 June 2016

IJUWE TAARIFA YA ACT-WAZALENDO KUHUSU KUPOTEA KWA ZITTO KABWE

SUBSCRIBE HAPA
B`ONYEZA PICHA HII KUIONA HOTUBA YA ZITO KABWE MBAGALA KAMA ULIIKOSA
https://www.youtube.com/watch?v=FeU335Qjghs
TAARIFA KWA UMMA

Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku.


Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu.

BILL GATE KUWASAIDIA WAAFRIKA WAFUGA KUKU

SUBSCRIBE HAPA
Bonyeza picha hii kujua kama simu yako itafungwa
https://www.youtube.com/watch?v=Kd0A5iAeHDg
Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini zaidi barani Afrika, kusini mwa jangwa la sahara, kwa kufuga kuku
Bilionea huyo Bill Gates anasema kuwa kufuga kuku kunaweza kuwa kifaa muhimu katika kukabiliana na ufukara hohe hahe.
Ameahidi kutoa kuku 100,000, na ukurasa katika mtandao wa mradi huo tayari umewavutia na kusambazwa kwa maelfu ya watu.

WATOTO SITA 6 WAMEFARIKI WAKIWA WANABATIZWA HUKO ZIMBABWE

SUBSCRIBE HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=MWnmZ0mJSjUWatoto sita wamekufa maji bila kutarajiwa katika sherehe za kubatizwa kwao katika mto nchini Zimbabwe.Watoto watatu walinusurika kufa maji ya mto huo ambao maji yake niya baridi;watoto hao walionekana wakitetemeka kutokana na baridi wakati miili ya wenzao waliokufa maji ikiopolewa majini.

Friday, 10 June 2016

HUKUYAJUA HAYA MATANO BAADA YA RICH MAVOKO KUFIKA WCD YA DIAMONDPLATNUMZ

SUBSCRIBE YOUTUBE HAPA

Jana ilikuwa siku kubwa kwa label ya WCB inayomilika na Diamond Platnumz. Kwa mara ya kwanza ilifanikiwa kumsainisha msanii mkubwa anayesifika kwa utunzi na uimbaji wa hali ya juu. Kwa kumsajili Rich Mavoko, WCB ilikuwa kama vile timu ya soka inapomsajili mchezaji maarufu na tena kwa dau kubwa.

Mavoko ameungana na Diamond mwenyewe pamoja na wasanii waliosainishwa awali, Harmonize na Raymond. Pia katika utambulisho wa label hiyo ulioendana sambamba na kumtangaza Mavoko kama msanii wake mpya, Queen Darleen, dada yake Diamond naye

AFYA| FAHAMU FAIDA NA HASARA ZA KUTOVAA CHUPI

LIKE PAGE YETU HAPA 

Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia.

Enzi za mama zetu na babu zetu uvaaji wa chupi haukuwepo hapa Tanzania. Uvaaji wa chupi uliletwa na wamisionari na wakoloni wakati wanaleta dini Africa. Kabla ya hapo waafrica hatukuwa na utamaduni wa KUVAA chupi.

Mtoto akizaliwa hakuvalishwa chupi kamwe kama ilivyo Leo. Mwanamke pia enzi hizo alikuwa havai chupi. Mwanaume naye pia alikuwa havai chupi? Watu wote walikuwa hawavai chupi. Mwanamke alikuwa hachuchumai chini pindi akijisaidia kutokana na kwamba hawakuwa wanavaa chupi hivyo wakitaka kujisaidia haja ndogo walikuwa

HARMONIZE | SI KWA KUCHEZEA WANAWAKE

LIKE PAGE  YETU HAPA
Mkali wa wimbo ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize amesema hana tabia ya kuchezea wanawake hivyo kama wakikubaliana na mpenzi wake wa sasa Jacqueline Wolper watafunga ndoa.
Wolper

Muimbaji huyo ambaye ametoka katika familia ya dini ya kiislamu, ameiambia Bongo5 kuwa dini yake hamruhusu kuwachezea watoto wa kike.

“Kwa sasa kuweka wazi kama tunakaa pamoja au hatukia siyo kitu kizuri cha kuzungumzia kwa sasa,” alisema Harmonize. “Insha’Allah panapo majaliwa tutakaa pamoja kwa sababu

Tuesday, 7 June 2016

MBEGU ZA KIUME ZENYE UKIMWI KUSAFISHWA NCHINI

SUBSCRIBE HAPA
 https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1Dar es Salaam. Wanaume wanaoishi na virusi vya Ukimwi sasa huenda wakapata suluhisho la kupata watoto na wenza wao ambao hawana virusi hivyo, baada ya kuwapo tiba ya kusafisha mbegu za kiume zenye VVU hapa nchini.

Tiba hiyo sasa inapatikana hapa nchini katika hospitali moja iliyo jijini Dar es Salaam, ambayo inatoa huduma za uzazi na upandikizaji wa mimba katika mirija ya uzazi kitaalamu inayojulikana, In Vitro Fertilization,(IVF).

DIAMOND PLATNUMZ| NADHANI WEMA SEPETU ANANIKUBALI KIMYA KIMYA

SUBSCRIBE HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=PYv0tojX3rYAkiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna sababu yeye kuendelea kumchukia Diamond Platnumz, ndiyo maana ameonyesha upendo kwa kusupport kazi zake na za wasanii kutoka kwenye Label yake.

“Kuna wakati inafika watu mnakuwa mmekuwa labda, mtu anaona hana sababu ya kuendelea kukuchukia au kuwa na vita na wewe, sababu mwanzo mwanzo mkiwa bado mnaenda mnaona kuna

WAGONJWA WA SALATANI YA MATITI KUTIBIWA MIAKA KUMI

LIKE PAGE YETU HAPA
BZ TV BONYEZA PICHA HII
https://www.youtube.com/watch?v=8hLupLJKJsw
Utafiti mpya umebaini kuwa wanawake ambao wamewahi kuugua saratani ya matiti huenda wakanufaika na chembechembe zinazozuia ugonjwa huo kwa muda mrefu zaidi kuliko muda wa sasa wa miaka mitano.
Utafiti huo uliofanywa na wanasayansi kutoka Marekani na Canada umebaini kuwa kutumia dawa hizo kwa miaka kumi badala ya mitano unapunguza uwezekano wa saratani hiyo kurejea kwa theluthi moja.

advertise here