Thursday, 29 December 2016

KUTOKWA NA DAMU BILA MPANGILIO UKENI....


Tatizo hili huwasumbua wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na baadhi ya wanawake ambao tayari wameshafikia ukomo wa kuzaa. Kwa mwanamke aliyekwishafunga kupata hedhi kuendelea kupata damu ya hedhi au kutokwa na damu ukeni bila ya mpangilio siyo hali ya kawaida.

Saturday, 10 December 2016

LORI LA MAFUTA LALIPUKA KENYA NA KUSABABISHA VIFO


Lori la mafuta limelipuka nje ya mji wa Nivasha nchini Kenya usiku wa Jumamosi December 10 2016 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40.
Taarifa iliyotolewa mapema leo December 11 2016 asubuhi na msemaji wa idara ya taifa ya mambo ya dharura nchini Kenya Pius Masai amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kwamba magari zaidi ya 11 yameteketezwa kwa moto katika barabara ya Nairobi-Naivasha.

ALI KIBA AJIZOLEA TUZO ZA EATVAWARD

Mkali wa ‘Aje’, Ali Kiba jana aling’ara zaidi katika tuzo za EATV 2016 zinazoandaliwa na kituo cha runinga cha East Africa zilizotolewa katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye huku msema chochote akiwa mtangazaji wa zamani wa kituo hicho, Salama Jabir.

WASANII WACHACHE WALIOCHEZEA BAHATI KTK TASNIA YA MUZIKI

Hapana shaka hata kidogo mziki wa Bongefleva umepanda chati kwa kasi sana kimataifa hasa barani afrika na wanamuziki wake wamekuwa na ushawishi mkubwa katika kiwanda cha muziki ndani na nje ya nchi..
Mpaka mziki huu umefanikiwa kufika hapo imekuwa ni safari iliyojaa milima na mabonde! Kuna

ZIJUE SIFA 10 ZA MTU MWENYE MAPENZI YA KWELI NA WEWE

Vijana wengi ambao wanapendana leo mapenzi yao hayadumu kiasi cha kubatizwa jina la utamu wa bazoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu haitolewi ipasavyo.

Ipo zana potofu kwamba kumfundisha mtoto mapenzi ni kumharibu, jambo ambalo si kweli bali inategemea mtoto huyo anafundishwa nini na kwa wakati gani. Lakini cha kushangaza zaidi hata watu wazima ambao ni wadau wa mapenzi hawayajui, matokeo yake wanajiingiza kwenye uhusiano wakiwa bumbumbu na hivyo kuteshwa na changamoto zinazowakabili.

Thursday, 8 December 2016

MIONGONI MWA WASANII WAKUBWA AFRICA MTANZANIA MMOJA ATAJWA

Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa na eDaily kupitia ripota Brian Okoth ambayo imewataja wasanii watano kutoka Afrika wanaotajwa kuingiza pesa nyingi zaidi mwaka 2016.

5. Diamond Platnumz (Tsh. Bilioni 9,665,923,190.55)

Related imageMtanzania Diamond Platnumz huenda akawa msanii anayezungumzwa au kutajwa sana kwasasa barani Afrika kutokana na headlines anazotengeneza kila siku, mikataba yake na

Tuesday, 6 December 2016

MATAIFA YA ULAYA KUTUMA CHOMBO SAYARI YA MARS

ExoMars
Mawaziri wa utafiti kutoka bara Ulaya wanaokutana mjini Lucerne, Uswizi wamesisitiza kwamba mpango wa kutuma chombo maalum kinachoweza kusafiri kwenye sayari ya Mars mwaka 2021 bado utaendelea.
Wameahidi kutoa jumla ya euro €436m ambazo zinahitajika kufanikisha mpango huo.
Mradi huo umechelewa kiasi na unagharimu pesa zaidi kuliko ilivyotarajiwa, jambo lililoibua wasiwasi kwamba mataifa wanachama wa Shirika la Anga za Juu la Ulaya (ESA) huenda wakaufuta

GARI LADUMBUKIA NDANI YA SHIMO HUKO TEXAS, MAREKANI

Mpita njia alisaidia mwenye gari jingine ambalo pia lilikuwa limetumbukia kwenye shimo hilo
Liwali ambaye hakuwa kazini alifariki baada ya gari lake kutumbukia kwenye shimo lililojaa maji, ambalo lilizuka ghafla katika eneo la San Antonio, jimbo la Texas nchini Marekani.
Maafisa wanasema Dora Linda Nishihara, 69, ambaye ni naibu liwali aliyekuwa anahudumu kama afisa wa kutekeleza maagizo ya mahakama, alifariki baada ya gari lake kutumbukia kwenye shimo

RIPORT YA HOSPITALI KUHUSU KIFO CHA MCHEZAJI WA MBAO FC KUFIA UWANJANI HII HAPA



Baada ya kufariki uwanjani kwa mshambuliaji wa timu ya Mbao FC Ismail Khalfan siku ya Jumapili ya December 4, leo December 6 2016 imetoka ripoti ya kilichosababisha kifo cha mchezaji huyo wakati wa mchezo kati ya Mbao FC dhidi ya Mwadui FC.

Monday, 5 December 2016

MADAKTARI KENYA WAANZA MGOGO KITAIFA

Taarifa zilizoripotiwa na BBC leo December 5 2016 kuhusiana na nchi ya Kenya ni kuwa madaktari  na wauguzi wa nchi hiyo wameanza mgomo wa kitaifa ikiwa kama sehemu ya kuishinikiza serikali kutimiza mahitaji yao.

VIDEO: NISHA BEBE MIMBA HII NGEKUWA YA BARAKA DA PRINCE

Nyota wa filamu nchini ambaye siku za karibuni amekuwa akihaha na ujauzito alionaonao bila kumuweka wazi muhusika, amekanusha kuwa ujauzito huo ni wa msanii Baraka The Prince.

Nisha Baby amefunguka kuhusiana na hilo akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV, na kusema kuwa endapo ujauzito huo ungekuwa wa Baraka kama inavyosemwa na wengi basi ungetoka wenyewe mapema sana kwa kuwa Baraka ni miongoni mwa wanaume asiowapenda kabisa duniani.

YOUNG DEE KAKANUSHA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA

https://www.youtube.com/watch?v=vYYS8vmDBTYMsanii wa hip hop nchini Paka Rapa (Young Dee) amesema hatumii dawa zozote za kukuza misuli yake na mwili wake bali anafanya mazoezi kila siku na bado hajafikia katika kiwango ambacho anataka kufikia.

Hata hivyo akiongea kupitia eNewz, Young Dee amesema anazingatia chakula, muda  wa mazoezi na

MIJI KUMI MICHAFU ZAIDI DUNIANI

Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO mwaka 2010 takribani watu 223,000 walfariki dunia kutokana na kansa ya mapafu.
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO


10. LAHORE, PAKISTAN

Most Polluted Cities Lahore nchini pakistan ndo mji uonaonekana kuwaumesheheni watu wengi ukiwa na wastani wa 200 mcg/m3na ukionekana ndo mji unaoongoza kwa uchafu duniani kulingana na tak

ALICHO KISEMA MOURINHO BAADA YAKUMCHEZESHA FELLAINI

jose mourinho & marouane fellaini
Jose Mourinho ametetea uamuzi wake wa kumuingiza uwanjani kiungo wa kati Marouane Fellaini kama nguvu mpya wakati wa mechi ambayo Manchester United walitoka sare na Everton Jumapili.
Fellaini alisababisha penalti muda mfupi baada yake kuingia dakika ya 85, na kuwawezesha Everton kusawazisha na mambo yakawa 1-1.

Friday, 2 December 2016

MELI YA TITANIC YAONEKANA CHINA

China kutengeneza meli inayofanana na 'Titanic' BONYEZA picha hapo chini kuiona videomfano wa mashua ya Titanic

Mashua sawia na iliyotengenezwa katika mji mkuu wa Belfast huko Ireland ya Titanic itawekwa katika eneo la kumbukumbu la theme park nchini India.
Ujenzi huo wa mashua hiyo yenye urefu wa kina cha mita 269, itawekwa katika hifadhi iliyoko mashambani , katika mkoa wa Sichuan, .

KUHUSU KUFUNGWA KWA KIWANDA CHA DANGOTE


BEI ya simenti imeanza kupanda katika baadhi ya maeneo nchini, imefahamika.

Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA unaonyesha kuwa bei hiyo imepanda zikiwa ni siku chache baada ya kiwanda cha simenti cha Dangote kilichoko mkoani Mtwara, kusimamisha uzalishaji kutokana na gharama kubwa ya uzalishaji.

GODBLESS LEMA ANYIMWA DHAMANA KWA MARA NYINGINE TENA


Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili wamtuhumiwa huyo walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya kukata rufaa.

Thursday, 1 December 2016

USAJIRI WA MZAMBIA YANGA WAKAMILIKA

https://youtu.be/V03uLM9J03I
Timu ya Dar es Salaam Young Africans leo December 1 2016 imetangaza kumsajili kiungo raia wa Zambia Justine Zulu, kiungo huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili.
Yanga imemsajili Justine Zulu kutokea timu ya Zesco United ya Zambia, kwa taarifa hiyo sasa ni rasmi Justine Zulu ataungana na kocha wake wa zamani ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni

VIDEO: JUSTIN BERBER ANAAMINI INSTAGRAM NI YA SHETANI


Justin Bieber amekuwa mbali na mtandao wa Instagram tangu mwezi August 2016 ambapo alijiondoa rasmi kwenye mtandao huo hali ambayo imesababisha mashabiki wake kumiss kumuona kwenye mtandao huo ambao unamuwezesha mtumiaji kutuma picha pamoja na video.
Akiwa kwenye show yake London aliuliza mashabiki “nani angependa nirudi Instagram?

advertise here