Waziri Mwigulu Nchemba ambaye ndiye mwenye dhamana ya kusimamia usalama wa raia na mali zao amesema kuwa, Nape Nnauye si jambazi, hakuwahi kuwa na taarifa za uhalifu, sasa kwanini mtu amtishe kwa bastola tena mbele ya umati mkubwa uliojaa waandishi wa habari?
Mwanasheria Mkuu Chadema Tundu Lissu achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha
Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa jumla ya kura 1,411 kati ya 1,682
zilizopigwa.
Mwanasiasa Julius Mtatiro ambaye kwa sasa yupo jijini Arusha amethibitisha ushindi huo wa Tundu Lissu
"Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria
nchini (TLS) kwa kupata kura