Sunday, 15 May 2016

NI MIEZI 6 SASA NIKO KWENYE MAHUSIANO NA GADNER

LIKE PAGE ETU HAPA FACEBOOK HUTAPITWA NA STORY YOYOTE


MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda wa miezi sita.

Gigy mefunguka haya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kwenye mapozi ya kimahaba na Gardner kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Giggy alisema mtangazaji huyo amekuwa mtu wa muhimu kwake kwa sasa.

“Kwani kuna tatizo nikiwa na Gardner? Yule ni mtu muelewa na sahihi kwangu, ninafikiri kupitia yeye nitajifunza mambo mengi na kuzidi kufanikiwa kwa sababu yeye ni moja kati ya watu ambao wako kwenye tasnia ya burudani kwa muda mrefu,” alisema Giggy Money.

WANAOVAA SURUALI CHINI YA MAKALIO VIBOKO SABINI

LIKE PAGE YETU HAPA USIPITWE NA STORY TENA FACEBOOK
Boneza picha subscribe nasi utube upate habari kwa njia ya video
https://www.youtube.com/watch?v=mTFQTl-J334\
Wakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70.

  https://www.youtube.com/watch?v=mTFQTl-J334Uamuzi huo umefikiwa na wakazi zaidi ya 200 wakisema uvaaji huo ni kinyume na mila na desturi za Kiafrika.


Vazi lingine lisilotakiwa kwa wanawake ni kuvaa suruali pamoja na vijana kunyoa ndevu mitindo isiyofaa.


Mkutano huo ulioandaliwa na wazee wa kimila jamii ya Meru (Wachili) na Wamasai (Malaigwani), uliwavutia wananchi wengi ambao walihudhuria.


Sambamba na uamuzi huo utakaokuwa unafanyika hadharani, pia adhabu hiyo itawahusu wezi wa mali na wanaopenda kucheza pool table wakati wa kazi.


Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Wilbrod Mutafungwa alipinga uamuzi huo akisema kwa maazimio hayo ya kuwaadhibu watuhumiwa kwa kuwachapa viboko ni kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume na sheria.

video ya mkenya aliyedandia helkopter

Saturday, 14 May 2016

BINTI WA KITAJIRI ALILIA PENZI LA CHOKORAA

 LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
Unaweza bonyeza picha ukacheka mwenyewe video ya huyu mtoto na udaku huu usiache kulike page yeu na kusubscribe nasi youtube
https://www.youtube.com/watch?v=QadvKOg7guc
LEO stand ya mabasi nikiwa naenda kumsindikiza rafiki yangu....nikamuona binti mrembo saana! Aliyevaa nguo za thamani kubwa sana yaani ukimuangalia huna haja ya kujiuliza mara mbili kuwa huyu ni tajiri au mtoto wa tajiri flani ...basi yule binti mrembo alishuka katika gari ya bei mbaya Range Rover SUV huku akiwa analia...na akiwa amempigia magoti mkaka mmoja mchafu aliyedhoofu sana inaonyesha labda alikuwa hapati chakula yaani ukimuangalia haraka huwezi

ALIYEDANDIA NDEGE HUKO KENYA NI STORI NYINGINE VIDEO YAKE IKO HAPA

LIKE PAGE YETU FACEBOOK HUTAPITWA NA CHOCHOTE HAPA
BONYEZA PICHA YOOTE KUIONA VIDEO NZIMA YA TUKIO HILI 
Ndege
Mwanamume mmoja katika mji wa Bungoma, Magharibi mwa Kenya ameshangaza wengi baada ya kudandia helikopta ambayo imepaa na kuondoka naye.
Helikopta hiyo ilikuwa imesafirisha mwili wa mfanyabiashara mashuhuri Jacob Juma aliyeuawa kwa kupigwa risasi jijini Nairobi wiki iliyopita, vyombo vya habari nchini Kenya vinasema.
Video zinazosambaa mtandaoni zinaonesha helikopta hiyo ikipaa juu angani kutoka uwanja wa Posta, mwanamume huyo akiwa amejishikilia kwenye vyuma vya helikopta hiyo.
Taarifa zinasema baadaye ndege imetua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Bungoma na mwanamume huyo akapelekwa hospitalini.

KIMENUKA TENA WEMA NA OMMY DIMPOZ WABAMBWA LIVE KILICHOENDELEA STORY NYINGINE

Like page yetu ya FACEBOOK hapa hutapitwa na habari zetu kamwe
unaweza pia bonyeza picha yoyote hapo kujua nini kiliendeleaa kwa njia ya video usiache kusubscribe nasi youtube mtu wetu
https://www.youtube.com/watch?v=QadvKOg7guc
LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza habari, amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Risasi Jumamosi limepewa mchapo.

PICHA ZADHIHIRISHA
Hiyo imedhihirika hivi karibuni baada ya kuvuja kwa picha mpya za wawili hao wakiwa chumbani katika mapozi ya kimahaba huku wamevaa mavazi ya kulalia (angalia picha Uk. 1).
Picha moja wapo ilimuonesha Dimpoz akiwa amemwekea miguu Wema mgongoni huku nyingine

YANGA IMEKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU VODACOM TANZANIA BARA ......

Usipite bila kulike page yetu hapa FACEBOOK kama unapendezwa na habari zetu
bonyeza picha hii hakika hutapitwa na habari yoyote kwa njia ya video kama utasubscribe nasi youtube
https://www.youtube.com/watch?v=mcgVq69bym4
Waziri na Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimkabidhi Kombe

Friday, 13 May 2016

YANGA SASA NI WA KWENYE PIPA TU

FACEBOOK PAGE

KLABU ya Yanga imepanga kufanya mabadiliko ya kulitumia basi lao ambalo walipewa na wadhamini wao Kampuni ya Bia (TBL) ambapo litakuwa maalum kwa mashabiki wao badala ya kutumiwa na wachezaji wao.

Hayo yamesemwa na Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro alipokuwa kwenye uzinduzi wa Tawi la Yanga Uswazi Mbeya eneo la Sokomatola juzi Jumatano wakati Yanga ilipokuwa jijini hapa kucheza na Mbeya City katika mechi ya Ligi Kuu Bara.

Muro amesema uamuzi huo wameufikiria kwa kuwa wamekuwa wakitumia zaidi usafiri wa ndege ambao umezaa jina la wao kuitwa wa kimataifa pamoja na kushiriki michuano ya nje.

Thursday, 12 May 2016

Top 10 Biggest And Longest Bridges In The World 2016

FACEBOOK
 1: Danyang–Kunshan Grand Bridge
length more than 164 kilometers

YANGA ... NDANDA RUSHWA YAHUSKIKA............. ILICHOKISEMA SIMBA HIKI HAPA

FACEBOOK
unaweza bonyeza hii picha kujiuga nasi youtube
https://www.youtube.com/watch?v=V5T2IW-f2qg
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Jerry Muro amesema, Ndanda FC itakapoutumia Uwanja wa Taifa itamaanisha kwamba Ndanda FC watakuwa nyumbani na hata mapato katika mgao asilimia kubwa ataipata Ndanda hivyo haoni sababu ya wengine kuanza kuongea kwa kuona ni makosa katika mchezo huo.

GARI LATUMBUKIA KATIK SHIMO BAADA YA BARABARA KUBONYEA

like page yetu hapa FACEBOOK
bonyeza picha yoyote hapo kisha subscribe youtube nasi usipitwe na habari yoyote kwa njia ya video
https://www.youtube.com/watch?v=MFOTazWIOaA
Gari moja limeingia katika shimo kubwa katika barabara moja kusini mashariki mwa London.
Gari hilo aina ya Vauxhall Zafira liliwachwa katika mtaa wa Woodland Terrace mjini Charlton na

Wednesday, 11 May 2016

WELBECK NJE KWA MIEZI TISA KIJUE KISA HAPA

Facebook page yetu like hapa
https://www.youtube.com/watch?v=cQFl2V9IFUA
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na Uingereza Danny Welbeck hatocheza kwa miezi tisa baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na jeraha la goti.
Welbeck mwenye umri wa miaka 25 alipata jeraha la mguu wake wa kulia wakati timu yake ilipopata sare ya 2-2 dhidi ya Manchester City siku ya jumapili na hatocheza mchuno wa Euro 2016.
Klabu yake imesema kuwa ukaguzi uliofanywa umebaini kwamba aliumia vibaya na kwamba sio jeraha la

WEST HAM WAMLAZA MACHESTER UNITED

Bonyeza hapa kulike page yetu ya FACEBOOK

West Ham
Klabu ya West Ham United iliaga uwanja wake wa nyumbani wa Upton Park kwa kuvuruga juhudi za Manchester United za kutaka kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumanne.
Ilikuwa mechi ya mwisho kuchezewa uwanja huo ambao umetumiwa na West Ham kwa miaka 112 kabla ya kuhamia uwanja wa Olimpiki.
Kwenye mechi hiyo ya kusisimua, West Ham walichomoza na ushindi wa 3-2.
Vurugu zilitokea kabla ya mechi.
Vijana wa Louis van Gaal walifahamu kwamba ushindi dhidi ya klabu hiyo na baadaye ushindi dhidi ya Bournemouth vingewahakikishia nafasi katika ligi kuu ya klabu Ulaya.

UJUE UKWELI JUU YA MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATANO

FOLLOW US ON FACEBOOK BONYEZA HAPA
Bonyeza picha kuiona na kuskia maelezo kuhusu video mpya ya chura wa snura
https://www.youtube.com/watch?v=Zc8PxVw7c4gMama mmoja raia wa Australia ametoa picha za mapacha watano aliowazaa mwezi Januari.
Kim Tucci wa miaka 26 alichukua dadika mbili tu kujifungua wanawe hao, wasichana wanne na mvulana mmoja.
Wote walitungwa kawaida, hakutumia matibabu yeyote ya uzazi.

MWANAMKE WA MIAKA 70 KAJIFUNGUA HUKO INDIA

FACEBOOK
Unaweza pia bonyeza picha hii kujiunga na BZTV ONLINE ili usipitwe na matukio kwa njia ya video
Kaur
Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India.
Mwanamke huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya kitaalamu ya IVF ambapo yai la mwanamke hutolewa kutoka kwenye ovari, kutungishwa mbegu ya kiume na kisha kurejeshwa kwenye mji wa mimba. Yai hilo linaweza kutolewa kwa mwanamke mwingine.
Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha wanawake tasa kupata watoto.
Daljinder Kaur alijifungua mtoto wake baada ya kupokea matibabu kwa miaka miwili katika hospitali iliyoko jimbo la Haryana.

Tuesday, 10 May 2016

WANASAYANSI WAUNDA NGOZI YA KUTOA UZEE

FACEBOOK

Wanasayansi wanadai kuunda aina ya ngozi inayoweza kubandikwa juu ya mwili wa mtu kupunguza muonekano wa mikunjo ya ngozi mwilini na ngozi inayopwaya chini ya macho kutokana na uzee.
Ni aina ya maji maji mtu anayopaka mwilini alafu inaachwa kukauka ambapo baadaye husihia kuwa ngozi nyembamba iliyo mithili ya 'ngozi ya ujana, Nature Materials inaarifu baada ya kufanya majiribio kadhaa madogo.
Kwa sasa inafanyiwa majaribio ya kuuzwa kama bidhaa ya urembo.
Lakini wanasayansi Marekani wanasema "ngozi ya pili " huenda baadaye ikaweza kutumika kutengeneza dawa na kinga dhdi ya jua.
Ngozi ya pili

KIPA WA CAMEROON AAGA DUNIA

FACEBOOK

Kipa wa timu ya taifa ya Cameroon upande wa wanawake ameaga dunia baada ya kuzirai wakati wa mazoezi, Shirikisho la soka la Cameroon limesema.Jeanine Christelle Djomnang,mwenye umri wa miaka 26, aliuguwa kabla ya mechi ya Femina Stars Ebolowa kusini mwa Cameroon Jumapili na alifariki akipelekwa hospitalini.
Shirikisho hilo linasema taarifa za awali zinaashiria alikufa kutokanana mshtuko wa moyo lakini sasa linasubiri taarifa rasmi ya madaktari.

POLICE WAANDAMANA DHIDI YA BEYONCE

FACEBOOK

Kundi moja la maafisa wa polisi limefanya maandamano karibu na tamasha lililofanyika katika mji wa nyumbani wa nyota wa muziki Beyonce huko Houston.
Wanachama wa muungano wa polisi na Sherrif walisimama mbali na uwanja wa soka na kuelekeza mwangaza wa bluu katika ukumbi wa tamasha hilo.
Walikuwa wanapinga kanda ya video ya Beyonce ambayo wanasema inawaponza polisi.

UHABA WA SUKARI CHANZO MWESHIMIWA RAIS

FACEBOOK

Akihojiwa na Mtangazaji Yvonne Kamuntu kwenye Azam News, Mchumi mbobezi hapa nchini Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema uhaba wa sukari uliopo kwa sasa nchini umesababishwa na Rais John Magufuli mwenyewe kwa kuzuia sukari ya nje kutoingizwa Nchini, ilhali viwanda vyetu havikidhi idadi inayohitajika katika uzalishaji wake.

Sunday, 8 May 2016

THE ‘INDUSTRY’ YA NAVY KENZO KUPANUKA NA WASANII WAMPYA.

Bonyeza hapa kulike page yetu usipitwe na habari zetu FACEBOOK
The ‘Industry’ ya Navy Kenzo Kupanuka na wasanii wampya.
Label ya The industry inayo ongozwa na Navy Kenzo (Nahreel na Aika) wameongeza wasanii wapya kwenye Label hiyo na kuwatambulisha leo hii
Rosaree huyu ni mwanadada ambaye anakipaji cha kurap ambaye anajiita Rap Goddess akiwahadi mashabiki wa muziki nchini wawe tayari kusikia ukali wake kwenye gemu ya kurap.
Msanii mwingine kujiunga na label hiyo ni Selene huyu ni mwanadada ambaye anaimba,naye amepata fursa ya kuweza kujiunga na kundi hili la the Industry.
Label hii pia hakuangalia tu wanadada warembo bali pia waliweza kumchagua Kijana anayenda kwa jina la willdad ambeye yeye anakipaji cha kucheza na kuimba kwa pamoja.

MAUWAJI GUEST/ CAMERA KUFUNGWA KATIKA NYUMBA ZA KULALA WAGENI.........KAULI YA MEYA WA JIJI

Like page yetu hapa FACEBOOK
Bonyeza picha kujiunga na BZTVONLINE
https://www.youtube.com/watch?v=OeY2q_a-xSQD
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameshauri kufungwa kwa kamera maalumu  za CCTV kwenye  nyumba zote za kulala wageni na hoteli ili kuimarisha ulinzi.

Ushauri huo wa Mwita unakuja baada ya  siku sita  kupita , kutokea kwa tukio la mwanamke mmoja kufariki dunia akiwa gesti.

Mwita ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Vijibweni (Chadema), alisema mamlaka husika wakiwamo wamiliki wa hoteli na nyumba hizo waliangalie suala hilo kwa jicho la tatu kwani litasaidia kwa kiasi kikubwa kuzuia

advertise here