Sunday, 13 November 2016

LIST YA WACHEZAJI BORA DUNIANI KUANZIA MWAKA 20006 HADI 2015


https://youtu.be/xU0jMQS1vuAhttps://youtu.be/xU0jMQS1vuA
https://www.youtube.com/watch?v=keucMcCM1Ww
2015 Lionel Messi ni mmoja wa wachezaji walio juu duniani. alizaliwa Argentina, kwa sasa anachezea club ya Barcelona katika ligi za hispania. Pia anajulikana kama Leo, La Pulga Atomica (The Atomic Flea) alizaliwa 24 June 1987,huko Rosario, Argentina
Wazazi wake ni Jorge Horacio Messi ( was a factory worker) na Celia María Cuccittini (was a

Thursday, 10 November 2016

IDRIS SULTAN ADAI MWIGIZAJI LULU NI MSICHANA 'WIFE MATERIAL' ILA WAO NI WASHKAJI TU.

post-feature-imageMchekeshaji na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan amedai katika tasnia ya filamu, mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye msichana mwenye sifa ya kumuoa.

Idris ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Wema Sepetu na baadae kuachana, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM kuwa Lulu ndiye msichana ambaye anahisi ametulia.

“Mimi naona Elizabeth Michael ametulia sana,” alisema Idris. “Ni staa ambaye namuona

MELANIA TRUMP MWANAMITINDO WA KWANZA KUINGIA IKULU

post-feature-imageMKE wa Donald Trump, Melania Trump, anakuwa mwanamitindo wa kwanza kuingia Ikulu ya Marekani baada ya mume wake jana kuchaguliwa kuwa rais wa nchini hiyo.

Shughuli kubwa ya Melania ni pamoja na kushughulikia masuala yanayohusu ustawi wa jamii na familia kwa ujumla.

Hata hivyo, wajibu huo haujabainishwa kuwa rasmi, lakini mke huyo wa rais anatarajia

Monday, 7 November 2016

PICHA TATU ZA MFALME BISHOO WA THAILAND ZAITIKISA DUNIA


Baada ya Mfalme wa Thailand kufariki Dunia mtoto wa Mfalme huyo ajulikanae kama *Maha* mwenye umri wa miaka 64 pichani akiwa na hawara

DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO TATU AFRIMA

https://youtu.be/gnDoNusFk7QDiamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.

Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.

ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMWELI SITTA AFARIKI DUNIA

 Spika mstaafu wa Tanzania Samuel Sitta mwezi Septemba, 2016.                                                Spika mstaafu wa Tanzania Samuel Sitta mwezi Septemba, 2016.
Spika wa zamani wa bunge la Tanzania Samwel Sitta amefariki dunia akipokea matibabu nchini Ujerumani.
Bw Sitta alikuwa mbunge mstaafu wa jimbo la Urambo lililopo mkoani Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu, Bw Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
Amekuwa akipokea matibabu tangu mwezi uliopita.

Sunday, 6 November 2016

VIDEO: SIKU WEMASEPETU AKICHEZA VIGOMA TANGA

BONYEZA PICHA KUSUBSCRIBE NASI YOUTUBE NA KUONA VIDEO NYINGI ZAIDI

ARSENAL YATOKA SARE NA TOTTENHAM

Arsenal yatoka sare na Tottenham uwanjani Emirates
Harry Kane alionyesha umahiri wake baada ya kuuguza jereha kwa majuma saba kwa kufunga bao la kusawazisha dhidi ya wenyeji Arsenal katika uwanja wa Emirates,na kuifanya Tottenham kusalia kuwa timu ambayo haijafungwa katika ligi ya Uingereza msimu huu.
Mshambuliaji huyo wa Uingereza alikuwa akiuguza jereha tangu tarehe 18 mwezi Septemba lakini alifunga bao la kusawazisha kupitia mkwaju wa penalti mapema katika kipindi cha pili baada ya

VIDEO MPYA YA ALIKIBA NA OMMY DIMPOZ KAJIANDAE

advertise here