Saturday, 27 June 2015

KANYE WEST BALAA AMWEKA MKWE KATIKA VIDEO YAKE

LAYIII
New York, Marekani
HABARI ya mjini kwa sasa ni juu ya baba wa kufikia wa mwanamitindo, Kim Kardashian aliyejibadilisha jinsia na kuwa mwanamke, Bruce Jenner ‘Caityln’ kuingizwa kwenye video ya wimbo mpya wa Kanye West.

BABA WA KIM NDANI YA VIDEO YA KANYE

Bruce Jenner ‘Caityln’.
New York, Marekani
HABARI ya mjini kwa sasa ni juu ya baba wa kufikia wa mwanamitindo, Kim Kardashian aliyejibadilisha jinsia na kuwa mwanamke, Bruce Jenner ‘Caityln’ kuingizwa kwenye video ya wimbo mpya wa Kanye West.

Chanzo kinaweka wazi kuwa kwa muda mrefu baba wa Caityln alikuwa akitamani kuonekana kama binti katika video za wanamuziki hasa kwa video zote zijazo za Kanye.
“Kanye atamuweka kwenye video yake ya wimbo mpya unaoitwa Bound 2 ambapo tayari walishaonana na atafanya hivyo kuonesha upendo wake kama mmoja wa wanafamilia,” kilisema chanzo.

No comments:

Post a Comment

advertise here