Saturday, 27 June 2015

DAVIDO KUJA NA PROJECT YA NGUO

LAYIII
MWIMBAJI Davido wa Nigeria amezindua mradi wa kuuza nguo ili kushindana na wauza nguo wengine nchini humo. Mwanamuziki huyo ameungana na makundi mengine ya wasanii na waendesha burudani ambao wamejikita katika mauzo ya nguo ili kuongeza vipato vyao mbali na muziki.

DAVIDO AZINDUA MRADI WA NGUO

Lagos, Nigeria
MWIMBAJI Davido wa Nigeria amezindua mradi wa kuuza nguo ili kushindana na wauza nguo wengine nchini humo. Mwanamuziki huyo ameungana na makundi mengine ya wasanii na
waendesha burudani ambao wamejikita katika mauzo ya nguo ili kuongeza vipato vyao mbali na muziki.
Moja ya aina ya nguo aliyozindua Davido.
Aina ya nguo alizozindua ni T-shirts ambazo amezipa jina la O.B.O.T.  Hii ni katika kutekeleza mafanikio yake ambayo ni pamoja na kuhitimu chuoni, kupata mtoto na kuzidi kujiimarisha katika muziki.

 


No comments:

Post a Comment

advertise here