LAYIII
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza.
KOMREDI KINANA ASABABISHA WAPINZANI LUKUKI KUHAMIA CCM MAGU
Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu
waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara
akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu, mkoani Mwanza.
Aliyekuwa Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachilu
akikabidhi magwanda ya Chadema kwa Komredi Kinana baada ya kutangaza
kuachana na chama hicho na kuamua kujiunga na CCM katika mkutano
uliofanyika katika Mji wa Kisesa, Magu.
Kadi mbalimbali za upinzani zilizotolewa na waliokuwa upinzani baada ya kujiunga CCM.
Aliyekuwa mwanachama wa ACT-Mzalendo,, Gervas Ncheye akijieleza sababu
zilizomfanya ahame cha ma hicho na kujiunga na CCM mkutano huo wa
hadhara.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachilu akielezea sababu za kukihama chama hiucho na kujinga na CCM |
Gervas akipongezwa na Mchumi wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mansoor baada ya kujiunga CCM kutoka ACT Mzalendo
Komredi Kinana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mgesa Mulongo wakifungulia maji kwenye bomba walipokagua Dip ya Maji.
Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza, Magesa Mulongo akielezea jinsi alivyoitikia agizo la Katibu Mkuu
wa CCM, Komredi Kinana la kuwataka Mamlaka ya Mapato Tanzania na Ofisi
ya Kamanda wa Usalama Barabarani kuanza utaratibu wa kuwafuata wateja
waliko kuwapatia leseni za biashara na bodaboda.
Kikundi cha sanaa cha Magu One Theather kikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM Mjini Magu.
Komredi Kinana akikagua nyumba iliyojengwa kwa matofali yanayofyatuliwa na kikundi cha vijana cha Ilungu katika Kata ya Nyigogo.
Komredi Kinana
akifunua pazia ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Jengo
la CCM Tawi la Lugeye, Kitongosima wilayani Magu.
Mhandisi wa Maji
Wilaya ya Magu, Eng. Rutta Merchades akielezea kuhusu maendeleo ya Mradi
wa Maji katika Kata ya Nyanguge, wilayani Magu.
Mama mkazi wa Kata ya Nyanguge, akitwishwa ndoo ya maji na Komredi Kinana aliyezindua mradi wa maji katika kata hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya
Magu, Karen Yunus akizungumza wakati Kinana alipokwenda kukagua
maendeleo ya ujenzi wa jengo la Xray katika Kituo cha Afya cha Kisesa,
wilayani Magu.
Katibu wa Mkoa wa Mwanza, Mtaturu akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu wakati wa mapokezi ya Komredi Kinana mjini Mwanza.
No comments:
Post a Comment