LAYIII
Kwa mtu ambaye hajafika Dar es salaam
kwa miaka kumi iliyopita akifika leo ni rahisi kupotea kwa sababu ya
mabadiliko makubwa katikati ya Jiji.
Kuna watu wanaishi Dar na hawajawahi
kukutana na nyumba za udongo, wapo wanaoamini kuwa Dar ni maghorofana
mijengo mikubwa, hakuna nyumba za udongo!!
Kwenye nyumba za udongo zilizobaki Dar es Salaam, hizi tano nazo zipo (Pichaz)
Kwa mtu ambaye hajafika Dar es salaam
kwa miaka kumi iliyopita akifika leo ni rahisi kupotea kwa sababu ya
mabadiliko makubwa katikati ya Jiji.
Kuna watu wanaishi Dar na hawajawahi
kukutana na nyumba za udongo, wapo wanaoamini kuwa Dar ni maghorofana
mijengo mikubwa, hakuna nyumba za udongo!!
Leo mtu wako nimekatisha maeneo ya
Tabata, Buguruni na Mbezi Beach nimekutana na nyumba hizi tano za udongo
ambazo japo Mji unatawaliwa na Maghorofa lakini hatahizi nazo zimo !
No comments:
Post a Comment