Saturday, 3 June 2017

EXCLUSIVE: WAKILI AELEZA SHERIA KUHUSU KUFUKULIWA KABURI LA IVAN (+VIDEO)



June 2, 2017 Mahakama Kuu Uganda iliomba kufukuliwa Kaburi la aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga na kutolewa fedha zilizotupwa hatua iliyokuja baada ya Bank Kuu kutoa tamko kuvitaka Vyombo vya Dola kuwachukulia hatua waliotupa fedha hizo…sheria inasemaje?

Kufuatia ombi hilo la Mahakama ya Uganda leo June 3, 2017 Ayo TV na millardayo.com zimetaka

MBINU ZA KUPATA MTAJI WA BIASHARA

Watu wengi wanatamani kumiliki biashara siku moja na huenda wana mipango mizuri juu ya bishara zao. Mipango hii inaweza ikawa vichwani tu au mingine katika maadishi lakini inapofika wakati wa utekelezaji wa mipango hii ukosefu wa mtaji wa biashara hiyo ni kipingamizi kwa wengi.

Lakini kuna jinsi kadhaa ambazo zinaweza kusaidia upatikanaji wa mitaji kwajili ya biashara.

 Aina Za Mitaji
Kuna aina mbili ya mitaji kwaajili ya biashara au uwekezaji wa aina yoyote.

Wednesday, 31 May 2017

DAKTARI WA UPASUAJI MATITI AFUNGWA JELA MIAKA 15

 Daktari wa upasuajia wa matiti Ian Paterson amefungwa jela miaka 15 kwa kufanya upasuaji usio muhimu.

Paterson, mwenye umri wa miaka 59, aliwafanyia upasuaji wanawake tisa na mwanamume

Saturday, 27 May 2017

HIVI NANI ANAJUA UNDANI WA ISSUE YA KESI YA BABU SEYA?


Miaka kama saba iliyopita, Mchungaji mmoja Mtu wa makamu, alinisimulia Mkasa wa "Majambazi" waliokuja nyumbani kwake kutaka kumuua maeneo ya Kinondoni. Lakini Kimiujiza "Majambazi" hawa wakashikwa na Usingizi wakakutwa asubuhi na Majirani, "Kumbe hawakuwa Majambazi" bali wale watu wa kazi ambao Wamarekani wanawaita Pigs na Tanzania tunawaita "Mbwa"

UNDANI WA KIFO CHA MUME WA ZARI NYUMA YA PAZIA..A - Z YA JINSI ILIVYOKUWA WIKI MBILI NYUMA KABLA YA KUFARIKI..!!!!




Kifo cha aliyekuwa mume wa staa wa Uganda na Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Tycoon Ivan Semwanga ‘The Don’, raia wa Uganda, mwenye maskani yake Johannesburg na Pretoria, Afrika Kusini, kimeibua simulizi nzito nyuma ya pazia.Kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya familia ya Ivan iliyopo Muyenga jijini Kampala, kilichokaririwa na mitandao ya kuaminika nchini Uganda,

Wednesday, 24 May 2017

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WALIOPANGWA JKT 2017



TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
 Sanjari na Uchanguzi huo, JKT limewapangia Makambi watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti Makambini kuanzia

advertise here