Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka manne ya
uchochezi.
Wakili wa Serikali Kishenyi Mutalemwa aliwasilisha maombi ya kupinga
dhamana yaTundu Lissu kwa madai kwamba amekuwa na mwenendo
unaohatarisha amani si tu
kwa wanajamii, bali hata kwake mwenyewe kwa kuendelea kutoa maneno ya uchochezi.
kwa wanajamii, bali hata kwake mwenyewe kwa kuendelea kutoa maneno ya uchochezi.
Hakimu Huruma Shaidi, ametupilia mbali ombi hilo la serikali na kumpa Tundu Lissu dhamana ya sh. Milioni 20
No comments:
Post a Comment