Tuesday, 19 January 2016

BARABARA ZA ANGA KUWA TISHIO TANZANIA

LAYII
Kama umebahatika kukatisha makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere pale eneo la mataa ya TAZARA utakuwa umekutana na bango linaloonesha dalili nzuri… ni dalili za ujio wa flyover, zile barabara ya juujuu kwa ajili ya kusaidia kuokoa foleni eneo lile.

DAR-ES-SALAAM KAMA ULAYA CHEKI JINSI DARAJA LA KIGAMBONI LILIVYO JENGWA BAHALINI

LAYIII
Dar es salaam inasubiria kwa hamu daraja jipya la Kigamboni linalojengwa juu ya bahari ambalo ilitangazwa kwamba linatakiwa kuanza kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka 2016 kurahisishia Wananchi ambao sasa hivi inabidi watumie kivuko wakati wote, tazama hii video hapa chini.

BARDMAN LIL WYNE WAKUTANA USO KWA USO NA WAMEYAMALIZA KABISA

LAYIII
Headlines za beef kati ya rapper Lil Wayne na Boss wa Cash Money Records Birdman ni miongoni mwa stori zilizokaa kwenye kurasa za burudani kwa kipindi kirefu, lakini baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya wawili hao, Lil Wayne maarufu pia kama Birdman Jr na Birdman wamefikia muafaka wa ugomvi wao tarehe 17 January 2016 maeneo ya LIV Nightclub, Miami.

Saturday, 16 January 2016

HAWA MASTAA NA HAKA KAMCHEZO KUNA NINI?

LAYIII


wema-auntWema Sepetu na Aunt Ezekiel
Miongoni mwa mastaa wa filamu na muziki Bongo wamekuwa na viashiria vya vitendo visivyofaa hasa wanapokuwa kwenye sehemu za starehe na wengi wao ni wale wanaotumia kinywaji chenye kilevi.
Wanaotajwa sana kwenye tabia hiyo mni pamoja na hawan wafuatao kutokana na picha zao kuzagaa nsana mitandaoni na kwenye magazetin mbalimbali.
Hapa nawazungumzia Aunt Ezekiel na Wema Sepetu, Isabela Mpanda na Baby Madaha, Rayuu na Skaina nk.

MJUE RAIS COMEDIANI ALIYE APISHWA GUANTEMALA

LAYIII

Wako mastaa waliojaribu maisha kwenye upande mwingine Tanzania, wako waliotoka kwenye game ya muziki na wengine walitoka kwenye movie… kwa maamuzi ya dhati kabisa wakajitangaza kwamba wanaitaka siasa !!
Wapo waliotoboa, wakafanikiwa kupata nafasi walizogombea kwenye Ubunge na Udiwani lakini wako ambao mambo hayakwenda sawa na wakaahidi kwamba wanaingia mtaani kujipanga rasmi kwa ajili ya jukwaa la kampeni za 2020 Tanzania.

advertise here