Wednesday, 27 May 2015

WAKISEMA MCHEPUKO SIYO DILI MUWE MNAELEWA

JAMANIMICHEPUKO SIYO DILI ELEWENI EMBU ANGALIYO YALIYO JILI HAPA JAMANI
  MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, mwishoni mwa wiki iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanawake kumvamia kazini kwake na kuanza kumsimanga kwa kitendo chake cha kuchepuka na mume wa mtu huku akipigiwa ngoma maarufu kama kibao kata.

MWANZA KUMEWAKA MOTO ONA YALIYO TOKEA BAADA YA PLATNUMZ KUFIKA KULE

NA LAYII

Diamond Plutnumz alikwenda mwanza kufanya show ya jembeka festival ila mapokezi yake yali dhihirisha kuwa msanii huyu ni mtu wawatu kama unamchukulia poa tazama picha zote hapa!!

INAELEKEA PLATNUMZ KAANZA KUFULIA KWA MAPIGO HAYA DUUU ONA MWENYEWE

NA LAYIII
  

Devontage Roper claimed about East African musician Diamond Platinumz steal his design and wear its without reframe the designer logo but latter Devontage shared the credibility post to diamond platinum for showing appreciation for his artwork and wear his bland although fake one!!.

Tuesday, 26 May 2015

BEYONCE NA JAY Z NI MAHABA NIUWE TU KAMA WAMEANZA JANA VILE

NA LAYII
Rapa Jay Z na mkewe Beyonce wakijiachia kwenye viunga vya jiji la Florence nchini Italia.
Florence, Italia
PENZI ni kikohozi kulificha huwezi! Ndivyo ambavyo wanaonyesha wapenzi wawili maarufu duniani, rapa Jay Z na mwimbaji Beyonce ambao hivi sasa wapo nchini Italia wakila raha na

AL SHABAAB WADAI KUWAUA POLISI ZAIDI YA 20 NCHINI KENYA

layii
Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab.
Wanamgambo wa Al Sbaab wamekuwa wakitishia hali ya usalama nchini Kenya daaba ya kudai kuwaua askari zaidi ya 20 na kujeruhi mmoja baada ya kuwepo kwa mapigano makali kati ya Polisi na Wanamgambo wa Al Shabaab, Kaskazini Mashariki mwa Kenya.
Wizara ya Usalama wa Taifa nchini Kenya imethibitisha kuwa askari mmoja amejeruhiwa wakati wa shambulizi la Wanamgambo wa kundi la Al Shabaab katika kijiji cha Yumbis mjini Garissa, Kaskazini Mashariki mwa Kenya.

Friday, 22 May 2015

SI WALIMU, WANAFUNZI WALA MADAKTARI SASA NI ZAMU YA WALEMAVU CHEKI KILICHOTOKEA JANA

LAYIII
Screen Shot 2015-05-21 at 3.19.05 PMWiki hii ilianza na headlines za migomo.. wa kwanza ulikuwa mgomo wa wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar, ikafuatia

WAKATI WEMA NA ANTI EZEKIELI WAKITWANGANA LULU ATAMBISHIA MJENGO WAKE

KIDOA NAYE JAMANI ETI MASOGANGE NI CHA MTOTO DUUU JAMANII----

LAYIII
Mayasa Mariwata
VIDEO Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye

KWELI KANUMBA ALIKWENDA NA NYOTA YA BONGO MOVIE MSIKIE RAY MWENYEWEE HAPA CHINI KAKIRI KWA KINYWA CHAKE

LAYIIIIII
Na Brighton Masalu
Msanii Vincent Kigosi ‘Ray’ amekiri kwamba kufariki kwa Steven Kanumba kumemsababishia kuporomoka kisanaa na kiuchumi kwa kukosa ushindani thabiti kwenye game.

IYOBO NAYE KWA ANTI EZEKIEL DUUU ITAFAHAMIKA TU NA HIYO MIMBA

Na swaxbz layiii

Imelda Mtema
MPENZI wa staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel, Moses Iyobo ambaye pia ni dansa mahiri wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa hakwenda kwenye

Wednesday, 20 May 2015

diamond aacha gumzo landon

na swaxbz layiii
Musa Mateja
AMAZING! Hiyo ndiyo kauli pekee unayoweza kuitamka kuakisi shoo baab’kubwa aliyoifanya mkali wa wimbo wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’, London, Uingereza, Risasi Mchanganyiko linakujuza zaidi.

Friday, 15 May 2015

HAKUNA CHA YOUTUBE DOWNLOADER WALA CHA IDM HAPA NI Finco Download Manager TU HEMBU ICHEKI HAPA MTU WANGU

NA SWAXBZ LAYIII
HAYA SASA MNAO SUMBUKA NA KUDOWNLOAD NI ZAMU YA FINCO KUWALETEENI APPLICATION KALIIII MTAKAYO DOWNLOAD VITU KWA HARAKAAAA NOUMA SANA CHEKI VITU HAPA MTU WANGU
Written by admin
fdmF
Finco Download Manager is an excellent download accelerator that will take care of all your downloads from the moment you install it on your Device.To use, just copy the download link and Paste in the add url field and you can let the app take care of the rest. FDM allows up to 10

Windows 7 Password hacker

win7 Password HackerNA WAXBZ LAYIII

Written by SWAXBZ LAYIII

Wednesday, 13 May 2015

BOW WOW AJITOA CASH MONEY

NA SWAXBZ
KUWA NAMI KUPATA UPDATE  NEWZ MAPEEEEMA

Rapa aliyeanza muziki tangu akiwa na miaka mitano, Bow Wow.
New York, Marekani
RAPA aliyeanza muziki tangu akiwa na miaka mitano, Bow Wow, amejitoa kwenye

Saturday, 9 May 2015

MVUA DAR KWISHA HABARI YAKE GWAJIMA AZITEKETEZA NA JESHI LAKE

NA SWAXBZ LAYIIII
haribu tena, na ninaiamuru ardhi imeze maji yote yaliyojaa juu ya nchi".

Friday, 8 May 2015

advertise here