Saturday 11 February 2017

HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA GWAJIMA BAADA YA KUTOKA KITUO CHA POLISI



Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo
cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya.
Baada ya kuachiwa Askofu huyo aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii >>> “FREE AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar es Salaam. Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea wote mlioomba kwaajili ya hili”

No comments:

Post a Comment

advertise here