Ni siku kadhaa tangu rapper Godzilla aichie single yake iitwayo ‘I Get High’, sasa time hii anakualika kuisikiliza hii single mpya inayoitwa First Class aliyomshirikisha Mwasiti.
Isikilize hapa
ULIMISS KUSKILIZA AUDIO NYINGINE YA HAPPYNESS HII HAPA MKALI WANGU
No comments:
Post a Comment