Sunday, 17 April 2016

KAMA HUKUJUA MADHARA YATOKANAYO NA UVUTAJI WA SIGARA NIMEKUSOGEZEA HAPA

LAYIII
Bonyeza picha hii kujiunga nami youtube
 Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kutegea sikio kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia madhara ya kuvuta sigara, tabia ambayo imezoeleka na watu wengi ingawa ina madhara mengi. Ili kuweza kuyajua madhara hayo kwa undani, usiondoke kando ya redio yako hadi mwisho wa
https://www.youtube.com/watch?v=M3iWPmDcf5g

ZIJUWE DAWA ZINAZOPUNGUZA AMA KUUWA NGUVU ZA KIUME

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI YOUTUBE KWA HABARI KWA NJIA YA VIDEOS
https://www.youtube.com/watch?v=mUlBC6Nj-ls
Dawa zote zinazopatikana mahospitalini na maduka ya madawa zinaletwa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali, japokua baadhi ya dawa hizo huambatana na madhara madogo na makubwa kwenye mwili wa binadamu. madhara madogo madogo huweza kua kichefuchefu,kizunguzungu, kutapika, kuharisha na kadhalika. na madhara makubwa huweza kua kansa, madonda ya tumbo, ugumba, kuishiwa nguvu za kiume na kadhalika. leo ntaenda kuongelea dawa za hospitalini ambazo zinhusika sana kuua nguvu za kiume na kama una tatizo hili uziepuke mara moja.

ZIJUWE SABABU ZINAZOFANYA WEWE MWANAMKE USIOLEWE MAPEMA

LAYIII
Bonyeza picha jiunge nami youtube usiache kusubscribe nami youtube
https://www.youtube.com/watch?v=_2xr9mgpj4s
Hizi Hapa ni Sababu Zitakazokufanya Wewe Binti Usiolewe Mapema

★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!

★2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kimakonde au kizaramo kwanza mnatutisha tu.

★3. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume, yani ukiguswa kidogo tu twende.

★4. Kuwa na picha karibia 500 Facebook, Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa

DARAJA LA KIGAMBONI LAGEUKA KUWA KIVUTIO KWA WATU WENGI

LAYIII
Bonyeza picha kujiunga nami youtube
https://www.youtube.com/watch?v=_2xr9mgpj4s
Baada ya Serikali kuruhusu matumizi ya daraja jipya la Kigamboni kwa watembea kwa miguu na magari kwa majaribio, hatua hiyo imepeleka neema kwa wakazi wa mji huo, huku ikipunguza idadi ya vyombo vya moto katika vivuko.

Jana asubuhi, mwandishi wetu alishuhudia magari yakipita katika daraja hilo, kama ilivyo katika barabara zilizozoeleka za Mandela na Morogoro, huku baadhi ya madereva wakiendesha na kujipiga picha kwa simu za mkononi.

Watembea kwa miguu nao hawakuwa nyuma na idadi yao ilizidi kuongezeka mchana baada ya mvua zilizokuwa zikinyesha kuisha na sehemu kubwa walionekana kama watalii waliokuwa wakipiga picha na

advertise here