Baada ya usiku wa jana Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wenzao wawili kuachiwa salama baada ya kutekwa na watu wasiojulikana alhamisi iliyopita wakiwa studio za Tongwe Record Masaki jijini Dar es salaam, Bongo5 imekukusanyia matukio yote pamoja na kauli mbalimbali ambazo zilitolewa
na viongozi pamoja na wadau mbalimbali katika harakati za kupatika kwa Roma na wenzake.
No comments:
Post a Comment