Tuesday 14 June 2016

WEST HAM | MCHEZAJI MPYA KUTOKA ALGERIA

SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1
Kiabu ya West Ham nchini Uingereza imemsajili mchezaji wa Algeria Sofiane Feghouli kwa kandarasi ya miaka mitatu.
Winga huyo anajiunga na kilabu hiyo katika uhamisho wa bila malipo.
''Ninafurahi kuweka mkataba na West Ham na kocha Slaven Bilic''.

''Historia ya klabu hii ni muhimu kwa uamuzi wangu'',Feghouli aliuambia mtandao wa West Ham United.
ILIKUPITA HII YA UFIPA MAGIC ICHEKI HAPA

No comments:

Post a Comment

advertise here