Wednesday, 29 June 2016
KUMBE MUHIMBILI KUNA KITENGO CHA KUHUDUMIA :MASHOGA AFUNGUKA KUPITIA TAKE ONE AND ACTION
Akasema Muhimbili wana kitengo chao cha kuhudumiwa. Kwamba hupewa mafuta ya ky, kondom, sabuni, hasa za kusafishia kinywa baada ya blow job, n.k. Hiki kitengo
CLOUDS TV YAJIKUTA KWENYE KITIMOTO KWA KURUSHA KIPINDI KUHUSU USHOGA, MAKONDA AWATETEA
Pamoja na Zamaradi kudai kuwa na nia njema ya kumhoji mtu huyo kwa madai suala hilo limekuwa tatizo nchini na ni muda wa kulizungumzia bila kificho, Watanzania wengi wameonesha kupinga kwa madai kuwa kipindi hicho kimetumika kulitangaza zaidi tatizo hilo.
Tuesday, 28 June 2016
KIWANDA KIKUBWA KUPITA VYOTE DUNIANI CHA SARUJI KIPO TANZANIA
FAHAMU KIWANDA KIKUBWA KULIKO VYOTE DUNIANI CHA SARUJI CHA BILIONEA DANGOTE WA NIGERIA ANAYEWEKEZA MTWARA TANZNIA
picha yoyote utakayo bofya hapa itakupeleka katika swaxbz tv subscribe ili usiwe unapitwa na habari kwa njia ya video kila siku mtu wang

Kiwanda kikubwa zaidi cha saruji kuliko kingine chochote duniani cha Dangote Cement Obajana Plant kutoka angani.

Kiwanda kikubwa zaidi cha saruji kuliko kingine chochote duniani cha Dangote Cement Obajana Plant kutoka angani

Sehemu ya kijiji jirani na kiwanda hicho

Kwa mbele ni malori yaliyopanga foleni kwenda kubeba saruji kiwandani hapo

Nyumba za wafanyakazi pamoja na mkanda wa kusafirisha mali ghafi toka machimboni

Machimbo ya kiwanda cha saruji cha Dangote

Malori zaidi yakiwa yanangoja zamu ya kwenda kupakia mzigo kiwandani

Ulinzi ni wa uhakika

Ndege binafsi za Dangote zikiwa zimepaki katika uwanja binafsi wa kiwanda hicho

Alhaj Dangote akiongea na mkuu wa polisi wa eneo hilo akiwa na binti yake Halima na mameneja wa kiwanda

Alhaj Dangote akiongea na Dada Esther, mmoja wa wasaidizi wake katika ujenzi wa kiwanda cha Mtwara

Sehemu ya mkanda wa kusafirisha mali ghafi toka machimboni hadi kiwandani

Sehemu ya malori yanayofanya kazi kiwandani hapo

Sheli ya kiwanda

Malori kazini

Sehemu ya machimbo

Kisima kirefu cha maji

Sehemu ya kiwanda

Silo na maghala ya malighafi


Moja ya benki 13 zilizofunga kambi kiwandani hapo

Tawi la benki ya Access kiwandani hapo

Sehemu ya maegesho ya malori


Mkanda wa malighafi

Sehemu ya kituo cha kuzalishia umeme


Malori yakiwa tayari kupeleka mzigo kunakohusika

Mixer
Seehemu ya kiwanda


Kiwanda

Foleni ya maori kuelekea kiwandani kubeba mzigo

Sehemu ya kiwanda

Ndani ya ghala la malighafi

Mkanda wa kuchukua malighafi toka machimboni

Bango la uzinduzi wa awamu ya kwanza na ya pili

Wahandisi wakifuatilia kila hatua ya uzalishaji kidigitali

Mitambo ya kufuatilia uzalishaji





Alhaj Aliko Dangote akiwapa maelekezo rubani na mhudumu wa ndege yake binafsi katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Obajana
HIFADHI KUBWA ZAIDI YA GESI YA HELIUM YAGUNDULIWA TANZANIA

Na baada ya kugunduliwa kwa gesi asili huko Mtwara na dhahabu sasa watafiti kutoka Uingereza wamegundua hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania.
Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika.
Ugunduzi huo umefanyika katika eneo la bonde la ufa la Tanzania.
RAY J ADAI ‘UCHIZI’ WA KANYE WEST UNAKARIBIA KUUVUNJA UHUSIANO NA MCHUMBA WAKE

Kwenye video hiyo Ray J aliyewahi kuwa mpenzi wa Kim Kardashian, anaonekana akiwa mtupu amelala kitandani na mastaa wengine. Akiongea na Entertainment Tonight kwenye tuzo za BET, Ray J alisema alishangaa kuwepo kwenye video hiyo na hataki hata kuisikia.
“Don’t put me part of nothing that’s weird, that don’t make sense,” alisema. “Can I grow up?”
Ray J pia alisema kuwa mchumba wake, Princess Love, amechukizwa mno na video hiyo. “I’m engaged. My marriage is all messed up ‘cause of craziness. I’m not part of nothing crazy,” alisema Ray J.
Saturday, 25 June 2016
KILICHOJIRI KUHUSU WAZIRI MKUU WA UINGEREZA KUJIUZULU
SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU

Bw Cameron ambaye ameongoza kampeini ya kusalia katika muungano wa EU amesema kauli hiyo imempa mshutuko mkubwa na kwa baadhi ya watu mashuhuri duniani.
Akiongea katika kikao cha waandishi wa habari nje ya afisi yake jijini London, Bwana Cameron amesema kuwa hahisi tena kuwa mtu muhimu wa kuliongoza taifa hilo kwa ufanisi chini ya uamuzi kama uliofanywa.
Sauti yake iliibua hisia hasa aliposena naipenda saana taifa hili na najihisi vizuri kuliongoza muda huo wote.
Bwana Cameron amesema kuwa kauli ya wengi sharti isikizwe japo hafahamu kwanini Waingereza walichukua uamuzi kama huo ilhali taifa hilo lilikuwa linaufanisi mkubwa sana ndani ya EU.
Cameron akiwa ameandamana na mkewe amesema bila shaka sasa utawala mpya
unahitajika utakaoweza kutathmini mbinu na mkataba wa kujiondoa kutoka
kwa muungano huo wa bara Ulaya.
Waziri mkuu wa Uingereza, David
Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia
wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya.
Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa atasalia ofisini kwa siku tisini zijayo ndipo angatuke.Bw Cameron ambaye ameongoza kampeini ya kusalia katika muungano wa EU amesema kauli hiyo imempa mshutuko mkubwa na kwa baadhi ya watu mashuhuri duniani.
Akiongea katika kikao cha waandishi wa habari nje ya afisi yake jijini London, Bwana Cameron amesema kuwa hahisi tena kuwa mtu muhimu wa kuliongoza taifa hilo kwa ufanisi chini ya uamuzi kama uliofanywa.
Sauti yake iliibua hisia hasa aliposena naipenda saana taifa hili na najihisi vizuri kuliongoza muda huo wote.
Bwana Cameron amesema kuwa kauli ya wengi sharti isikizwe japo hafahamu kwanini Waingereza walichukua uamuzi kama huo ilhali taifa hilo lilikuwa linaufanisi mkubwa sana ndani ya EU.
Subscribe to:
Posts (Atom)