Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO mwaka 2010 takribani watu 223,000 walfariki dunia kutokana na kansa ya mapafu.
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO
ikiwa na wastani wa 215 mcg / m3kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2009
Afrika mashariki ya kati na kaskazini mwa afrika ndo maeneo yanayoonekana kuwa machafu sana
kwa wastani wa 130 mcg/m3 ikifuatiwa na asia ya kusini yenye wastani wa 100 mcg/m3
hapa chini ni miongon mwa miji michafu sana kwa mujibu wa WHO
10. LAHORE, PAKISTAN
Lahore nchini pakistan ndo mji uonaonekana kuwaumesheheni watu wengi ukiwa na wastani wa 200 mcg/m3na ukionekana ndo mji unaoongoza kwa uchafu duniani kulingana na takwimu za mwaka 2003
9. Kanpur, India

No comments:
Post a Comment