LAYIII
Raila Odinga baada ya kufika Chato alisema ‘mimi
na familia yangu tupo likizo na tumekuja kumtembelea rafiki wa familia
yetu, nimekuja kupumzika na mke wangu na mtoto wangu wa kike, pia
nimekuja kutoa pongezi kwa ndugu yangu kwani tangu achaguliwe sijaja
hapa Chato na nilisema siendi Dar, nitakuja hapahapa Chato‘
