Ligi kuu ya Uhispania imeendelea leo baada ya mapumziko ya kupisha
mechi za kimataifa kumalizika, Real Madrid walisafiri mpaka jijini
Barcelona kwenda kucheza na Espanyol.
Ule mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu baina ya wapinzania wa
jadi wa ligi kuu ya Uingereza, vilabu vya Manchester United dhidi ya
Liverpool umepigwa usiku huu.