SWAXBZ

Pages - Menu

▼

Saturday, 23 July 2016

MAMBO YA AJABU YATOKEA,VYANZO VYA MAJI VYAGEUKA DAMU (NI MUDA KIDOGO ILA NIMEPENDA SHARE NA WEWE LABDA ULIIKOSA HII)

youtube.com/c/mswaxkimMto wa Beirut wageuka damu
Ni kitu cha kustaajabisha kimetokea baada ya mkondo wa maji kuingiliwa na vitu visivyojulikana.
Bado haijajulikana kwanini mto umekuwa na rangi nyekundu kama damu,mto huo bado ulikuwa ukitiririsha maji yenye rangi ya damu katika bahari ya Mediterranean hadi jumatano jioni


Mto Yangtze umekuwa mwekundu
Mto Maarufu kwa jina la "golden watercourse" nao umebadilika na kuwa na rangi nyekundu,bado haijajulikana nini sababu ya mto huo nao kuwa mwekundu

Ziwa lililopo Ufaransa limekuwa na rangi ya damu
Ziwa la Camargue lililopo kusini mwa Ufaransa limegeuka na kuwa na rangi nyekundu na kusababisha hofu kubwa miongoni mwa watu
ULIKOSA KUIONA VIDEO YA MWANAMKE ALIYEKUWA AKICHEZA KIMAHABA OFISINI MWAKE CHEKI HAPA
http://entryhub.blogspot.com/ at Saturday, July 23, 2016
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.