LAYIII
Tukiwa bado tunaendelea na Uchaguzi Mkuu
kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojitokeza kama kuenea kwa taarifa
za washindi wa wagombea kutoka sehemu mbalimbali, sasa kamanda wa polisi
wa kanda maalum, Suleiman Kova amezungumza na waandishi wa habari
kuhusus na matukio hayo