LAYIII
Tanzania ilipata ugeni wa msanii kutoka Zambia
Roberto aliyeimba ngoma ya ‘Amarula’ ambaye alikuja na kupiga show Mwanza..msanii
Galaxy kutoka Tanzania amemshawishi
Roberto wapige naye collabo moja..Galaxy amesema amepata connection
nzuri ya kuweza kukutana na msanii huyo lakini bado hawajafanya collabo,
kwa sasa tayari wamepanga mikakati yao na anachosubiri ni yeye awe
tayari.

Galaxy
Ney wa Mitego alivamiwa
na majambazi nyumbani kwake Mbezi ya Kimara..Anasema siku ya tukio yeye
hakuwa nyumbani na majambazi hao walifika nyumbani kwake majira ya saa 4
usiku..walikuja