Pages - Menu

Saturday, 7 March 2015

ALIKIBA AFUNIKA MOSHI CHEKI PICHA ZAKE HAPO CHINI NI NOUMA


121stgMkoa wa kwanza kufikwa na tour ya Ali Kiba ni Kilimanjaro ambapo Moshi walipata nafasi ya kushuhudia show ya Ali Kiba kwenye stage na wimbo wa Cheketua kwa mara ya kwanza Club La Liga.

TBCUELTD.COM YAPATA USAJIRI RASMI SASA NI WAKATI MHAFAKA SASA KWA WASANII WACHANGA KUSHANGILIA

Kampuni iliyo kuwa ikisubiriwa na wasanii wengi wachanga na wale walio na kipaji ila wameshindwa kabisa kukiendeleza sasa ni wakati muhafaka kutembelea kampuni ya TBCUE